Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa.anakuhusu nn mpaka ikuume ukimkuta na mtu.Rejea title
Wewe dadako ukimkuta na mtu unavunga 2?
Shule kwani zimefungwa???unataka umtoe nyege wewe Dada yako?Wewe dadako ukimkuta na mtu unavunga 2?
naona kawaida na yy ni binadamu kama ww anahitaji psychological needs kama wewe unavyohitaji mwache huru kama we unavyohitaji Uhuru wako so wenye Tania za kuwafuatilia Masada zenu acheni Mara moja.Dada ako ukimkuta ndani/ kwenu na mtu unaona kawaida 2?
Inategemea, pengine ni under18 na wewe ndo unayehangaika kumsomesha...Sasa dadaako utamwoneaje wivu?
mke unamkuta kwa kumfatilia au na dada ako pia utakua unamfatilia?Mke wako unamkutje kutaje?
Naomba niamini kwamba ulikua na mahusiano na dadaako. Then dadaako akapata mtu mwingine ambae ukipaswa kumuita shemeji.Habari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ?
Karibuni sana tupeane mawazo.
Usichafue ustaarabu.
Kumkuta mke na mtu inauma kwasababu una miliki yake ila huwezi kulinganisha kumkuta mtu na dada wakati dada ana uhuru wa kupenda. Sioni haja ya kulinganisha haya mawili kwasababu dada ni haki yake kuwa na mtu lakini si mkeo.Rejea kusoma Uzi upya tena
Utamuoa!?..Wewe dadako ukimkuta na mtu unavunga 2?
Umekurupuka, kinachokuaminisha?Naomba niamini kwamba ulikua na mahusiano na dadaako. Then dadaako akapata mtu mwingine ambae ukipaswa kumuita shemeji.
Hii ilikuchanganya sana kwa kuona unalikosa penzi la dada yako.
Na........
Baada ya kugundua kwamba mkeo anachepuka, hauku umia kama dadayako alipo pata bwana mwingine.
Hapa kinacho kuumiza kichwa ni...... Kwanini hauumizwi na mchepuko wa mkeo, kuliko unavyo umizwa na bwana wa dada yako...!!??
Hya ndo majibu, so wengine wanabwabwajabwabwaja 2!Kumkuta mke na mtu inauma kwasababu una miliki yake ila huwezi kulinganisha kumkuta mtu na dada wakati dada ana uhuru wa kupenda. Sioni haja ya kulinganisha haya mawili kwasababu dada ni haki yake kuwa na mtu lakini si mkeo.
Sijakurupuka mkuu.....Umekurupuka, kinachokuaminisha?
Sasa dadaako utamwoneaje wivu?
Mmeambiwa mtoe ushauri mnabwaja 2, huna ushauri kaa pembeni
Hivi unajua mchepuko wa dada yako ni shemeji yako pia?😎 😎Leta hoja zenye mantiki