Ipi inauma sana kati ya mke na Dada kumkuta na mtu?

Dada ako ukimkuta ndani/ kwenu na mtu unaona kawaida 2?
naona kawaida na yy ni binadamu kama ww anahitaji psychological needs kama wewe unavyohitaji mwache huru kama we unavyohitaji Uhuru wako so wenye Tania za kuwafuatilia Masada zenu acheni Mara moja.
 
Habari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ?
Karibuni sana tupeane mawazo.
Usichafue ustaarabu.
Naomba niamini kwamba ulikua na mahusiano na dadaako. Then dadaako akapata mtu mwingine ambae ukipaswa kumuita shemeji.
Hii ilikuchanganya sana kwa kuona unalikosa penzi la dada yako.
Na........
Baada ya kugundua kwamba mkeo anachepuka, hauku umia kama dadayako alipo pata bwana mwingine.

Hapa kinacho kuumiza kichwa ni...... Kwanini hauumizwi na mchepuko wa mkeo, kuliko unavyo umizwa na bwana wa dada yako...!!??
 
Rejea kusoma Uzi upya tena
Kumkuta mke na mtu inauma kwasababu una miliki yake ila huwezi kulinganisha kumkuta mtu na dada wakati dada ana uhuru wa kupenda. Sioni haja ya kulinganisha haya mawili kwasababu dada ni haki yake kuwa na mtu lakini si mkeo.
 
Umekurupuka, kinachokuaminisha?
 
Hya ndo majibu, so wengine wanabwabwajabwabwaja 2!
 
Umekurupuka, kinachokuaminisha?
Sijakurupuka mkuu.....
Kwanza punguza pupa, na ukiwa unaleta maneno humu.... Unapaswq kutambua kwamba hili ni jukwaa GT and not FB tafadhali
 
Sijakurupuka mkuu.....
Kwanza punguza pupa, na ukiwa unaleta maneno humu.... Unapaswq kutambua kwamba hili ni jukwaa GT and not FB tafadhali
Ndo nahitaji sasa hoja zenye mashiko ili kuthibitisha kweli na ww upo ndani ya GT
 
Acha kuuliza maswali ya Kibashite. Tafakari kwa kina kabla hujauliza swali humu. Watu hawapo hapa kutoa ushauri kwa maswali ya kipuuzi puuzi.

Mmeambiwa mtoe ushauri mnabwaja 2, huna ushauri kaa pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…