ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Inasemekana Mzee Mwandambo ametekwa
Kanuni ya watekaji wa nchi ya Afghanistan, ukitekwa ukaachiwa na ukawakosoa ukitekwa tena Kuna zaidi ya 90% ukapotezwa,
Hivyo basi Nina wasiwasi kama Mzee Mwandambo atarejea akiwa hai
Kauli zake alizopata kutoa
1. Serikali ya ze comedy
2. Taasisi ya usalama wa Taifa iitwe taasisi ya wanasiasa
3. Mwenyekiti wa CCM hawezi kusimamiwa na CCM.
4. Kukemea mashehe wa BAKWATA
5. Kuwaunga mkono TEC juu ya hoja Yao ya kuongelea haki
6. Kupinga maridhiano
7. Kupinga Mwigulu katika matamko zake tata
8. Kumhitaji Tanganyika itambulike kama Taifa kama ilivyo Zanzibar
9. Kukemea utekaji
10. Kuhimiza viongozi waende mahabusu za police kuona vijana wanavyoteswa katika karakana zao
11. Kupinga tume
Hii inafikirisha Mzee Mwandambo amekamatwa ila shehe aliyesema atakata watu vichwa anatamba uraiani