Watz tukubal kwamba tunautawala wa kifalme,Huyu atapotezwa
Kurudi Sina matumaini
Kwanini serikali wanakosa wanakosa uvimilivu wa kuhimili maoni mbada?Mzee naye huyu anatuangusha wazee wenzake. Yani hali ilivyo sasa hivi nchini alishindwa kujiongeza na kukaa kimya tu.
Sifa za mtandaoni nazo zimemponza eti kwkusiwafiwa anashusha nondo na kutema madini.
Vitu kama hivyo unafanya JF na ID feki.
Sasa kaweka maisha yake rehani buree. Kwasababu hii miCMM mijinga inaua tu hovyo hovyo.
adriz de mbusii
Amini nakumbia hapa wataua ila watu hawatakoma.Mzee naye huyu anatuangusha wazee wenzake. Yani hali ilivyo sasa hivi nchini alishindwa kujiongeza na kukaa kimya tu.
Sifa za mtandaoni nazo zimemponza eti kwa kusifiwa anashusha nondo na kutema madini.
Vitu kama hivyo unafanya JF na ID feki.
Sasa kaweka maisha yake rehani buree. Kwasababu hii miCMM mijinga sana inaua tu hovyo hovyo.
adriz de mbusii