mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Ipi inaweza kuwa kuwa sahihi mwanaume anapotafta mke , je amzidi umri wa miaka mingapi, ,mwanamke na mwanaume wakiwa na umri SAWA au mwanaume akawa na umri mdogo kwa mwanamke inaonyesha panapatikana changamoto sana ,
Kwa mujibu wa dini yangu ya kikristo umri unaoshauriwa ni mume amzidi mke miaka kumi , refer umri wa ibrahimu na mke wake Sarah , ukitoa ukomavu wa fikra na mawazo umri unaonyesha kufanya sana kazi katika ndoa
Kwa mtazamo wako upi ni umri sahihi Miaka mitano, mitatu, miwili, kumi, kumi na tano