Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Sioni sababu
Kwa Mwanaume mwenye Miaka 25 mpaka 40 anatakiwa kuoa binti wa Miaka 17 hapo ni vizuri zaidi, Mimi mdogo wangu umri mkubwa lakini ameoa binti wa miaka 17 mpaka naona wivu,Tena binti wa 17 anatakiwa awe amelelewa Shamba na siyo mjini, Binti wa mjini wanawahi kuchoka kutokana mfumo wa maisha.Ndoa hazitabiriki we hakikisha msizidiane zaidi ya miaka mitano
Kila mmoja afanye anavyotaka kwa sababu kila kila mmoja kilio kitamfikia kwa muda wakeKwa Mwanaume mwenye Miaka 25 mpaka 40 anatakiwa kuoa binti wa Miaka 17 hapo ni vizuri zaidi, Mimi mdogo wangu umri mkubwa lakini ameoa binti wa miaka 17 mpaka naona wivu,Tena binti wa 17 anatakiwa awe amelelewa Shamba na siyo mjini, Binti wa mjini wanawahi kuchoka kutokana mfumo wa maisha.
Umri mzuri wa kupishana ni miaka miwili tu ,😂😂😂 zaidi ya hapo ni kujitaftia majanga tu.Ipi inaweza kuwa kuwa sahihi mwanaume anapotafta mke , je amzidi umri wa miaka mingapi, ,mwanamke na mwanaume wakiwa na umri SAWA au mwanaume akawa na umri mdogo kwa mwanamke inaonyesha panapatikana changamoto sana ,
Kwa mujibu wa dini yangu ya kikristo umri unaoshauriwa ni mume amzidi mke miaka kumi , refer umri wa ibrahimu na mke wake Sarah , ukitoa ukomavu wa fikra na mawazo umri unaonyesha kufanya sana kazi katika ndoa
Kwa mtazamo wako upi ni umri sahihi Miaka mitano, mitatu, miwili, kumi, kumi na tano
Duuu miaka miwili sasa hapo mke akizaa watoto 5 si hata kutembea pamoja utaonekana unatembea na Mama yako mdogo au ShagaziUmri mzuri wa kupishana ni miaka miwili tu ,😂😂😂 zaidi ya hapo ni kujitaftia majanga tu.
Ndio nzuri hio, nguvu zikiisha mnakua wote mmezeekaDuuu miaka miwili sasa hapo mke akizaa watoto 5 si hata kutembea pamoja utaonekana unatembea na Mama yako mdogo au Shagazi
Sasa Mkuzee wote nani atamsaidia Mwenzake ni Vizuri Mume umzidi Mke Zaidi ya Miaka 10 Kwasababu kwenye Uzee Mwanaume anaanza kuumwa Magojwa ya Uzeeni Mapema, inatakiwa Ukifika miaka zaudi ya 70 mke wako awe na miaka 60.Ndio nzuri hio, nguvu zikiisha mnakua wote mmezeeka