KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo nyingine unaijua bro??Mimi naikubali mark x sana
Lakini vifaa na confortability vipi??Kwa sababu umeomba ushauri, mimi nakuambia Subaru Legacy, kwa safari za hapa mjini na raha zaidi unapoutafuta mkoa wowote ule, ulaji wa mafuta ni wa kuridhisha ilimradi zingatia servive. BUT UAMUZI NI WAKO.
Lakini vifaa na confortability vipi??
Maake kuna gari kama bmw ni bei ndogo ila spare ndo shida na bei ghali sanaKama vifaa kwa maana ya spares, mjini hapa hakuna shida hiyo ni fedha yako
Maake kuna gari kama bmw ni bei ndogo ila spare ndo shida na bei ghali sana
Na confortability during ride vp mkuu
Poapoa wakuu nimewaelewaMkuu hakuna tatizo la spares kwa sasa hapa mjini, nasisitiza ni fedha yako tu
chukua subaru asee, achana na TOYOTA
kuhusu spares wala siyo tatizo,
Kidogo najua spare zake ghali japo ukiinunua hurudi dukani mapema, pia fuel consumption iko juu kiasiNa hiyo nyingine unaijua bro??
Fuel consuption iko chini coz ina cc ndogo af kama ulivyosema hurudi dukani mapema hyo ni kweli nimeisikiaKidogo najua spare zake ghali japo ukiinunua hurudi dukani mapema, pia fuel consumption iko juu kiasi
Subaru yoyote matengenezo isikie hivo hivo.chukua subaru asee, achana na TOYOTA
kuhusu spares wala siyo tatizo,
Ndo nn hyo mkuu109 landlover.... [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Iko poa sana eesubaru mashine b4 chief take it u will enjoy
What about performanceyap take it be unique kidogo