Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

study the following specs
> subaru 2.0i 0-100km 9.5sec 162BHP@6800rpm
> markx 2.5 0-100km 7.9sec 215BPH@6400rpm

jaribu one day kutest mark x then utapata full experience
Hiyo ni acceleration bro na hyo ni from zero na ikumbukwe gari mara nyingi ni from a specific speed
Ni kama world wide inayoongoza kwa acceleration ni tesla (gari la umeme) lkn likifika about 100 linapitwa na haya mengine yakichemka.ingia youtube
Ila mi naona ts very solid na performance nzri tu.mark x cjatumia sana ila its very nyc na responsive ila kwa performance naona subi iko frsh tu
 
acceleration is one thing cheki horse power to body weight ratio ndo maana nika qoute vitu viwili...
ila mwisho wa siku tumia ile kitu roho inapenda kama ulivyosema "ts very solid na performance nzuri"...
 
Yeah mark iko vzr lkn hii naona ata youtube performance yake wanaonesha iko poa na kwenye kukwama ni vigum sana japo kwangu haina msaada sana
 
ndugu yangu spea zipo nyingi tu za subaru, kuhusu ulaji wa mafuta ni wakawaida. subaru aina magonjwa mengi ni imara ukilinganisha na mark x, kuhusu barabarani ndo umefika, kitu imetulia balaa, unaweza fika spidi 100+ afu usijue umefikaje. mimi nakushauri chukua mnyama subaru b4
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] serious yan ukikanyaga kidogo2 mia. Af imeshika barabara balaaaa yaan ki2 unaovertake very simple
The thing is owsome
Ila mark x design ya ndani iko poa zaidi japo na hii inamuonekano mzr sana pia
Ila brevis muonekano wa dashboard uko poa zaid ya zote
Na iko chini sana yaan ukilinganisha na magar mengine
Hichi ni ki2 utakacho notice ukiingia2 ndani ya gar
 
Usichokijua ni kama giza nene. speed 240-260kph hakuna wa kukusumbua? Sababu ya kuzoea kuendesha vigari vya Japan. Uliza uambiwe.
Kwa tanzania iloyojaa matochi utaiendeshea wapi hiyo speed
 
Chukua bmw 5series kwa ladha zote unazihitaji kwa sedan cars. ...dashboard 260km/hr iko very comfortable
Vipi kuhusu benze c 230 sport edtion imekaaje kicormfotability na upatkanaji wa spare
 
Nimepata nafasi ya ku endesha gari zote mbili....Mark X kwa comfortability, appearance pamoja na stability iko vizuri pia ulaji wa mafuta unahitaji pochi kidogo..Tukija kwa legacy performance ipo vizuri sana na ulaji wa mafuta unategemea kwa case yangu nimetumia yenye turbo kwa hyo inategemea ikiwa ina engage..mimi ni mpenzi wa sports car ninge opt legacy kwasababu ina option ya automatic na manual kwa wakati mmoja..
Kama naomba unichek wassap na hii namba 0713508447
 
Subaru iko vizuri asee
Nimekuwa na Subaru model mbili mfululizo, SG5 na SF5 Forester.
Hizi gari ni wazimu, acceleration haina mfano, gari inapaa!
Kwenye highway, yaani open road, stretch nzuri kama ;
Same-Himo,
Mbuyuni-Comfort(Iringa),
Gairo-Dodoma,
Manyoni-Singida,
Chalinze~Morogoro(siku hizi magari mengi),
accelerate na piga hii gari hadi 120km/hr na turbo kicks in.
Baada ya 120km/hr gari unaisikia kick ya valve zikifunguka.
Ina paa tena kufika hadi cruising 170~180km/hr!

Kama huna experience na hii gari dont try this!
Nilikuwa na Chaser 6 cylinder, na haikuwa na performance kama Subaru.
 
Back
Top Bottom