Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Year mark x ni luxirius ila subaru ni sporty xo handling na performance ni zaidi ya mark x
It depends maana sio subaru zote ni sports kuna zingine za kawaida zinakalishwa hata gx100 tu..... Forester STI na impreza WRX hizo kweli moto wake sio wa kuotea karibu
 
It depends maana sio subaru zote ni sports kuna zingine za kawaida zinakalishwa hata gx100 tu..... Forester STI na impreza WRX hizo kweli moto wake sio wa kuotea karibu
Legacy b4 ni zaidi ya impreza na forester
 
Hivi Subaru nayo ni gari!? Watu kweli hamna taste!!!
1476592581912.jpg
1476592587596.jpg

Hzo
 
Aah! usicheze na kale ka kitu mwanawane,mafuta kananusa tu
Yeah najua
Ila kanaboa
Muonekano mbaya af kanawahi kuwa mkweche
Na kakianza kukusumbua ndo utakoma na dharama za kukatengeneza kila cku ni kama unatumia mark x2
 
hii gari ina shape tamu sana, i think its the far most appealing sedan make by subaru. Af kuna ile hatchback yake pia nayo tamu sana
Yeah legacy ishachukua appearing car from japan
Kwenye tuzo za us
Kwa subaru legacy ndo iko nyc appearing
 
Back
Top Bottom