saimon111
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,736
- 1,355
It depends maana sio subaru zote ni sports kuna zingine za kawaida zinakalishwa hata gx100 tu..... Forester STI na impreza WRX hizo kweli moto wake sio wa kuotea karibuYear mark x ni luxirius ila subaru ni sporty xo handling na performance ni zaidi ya mark x