Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

V6 mf ukijaza full tank unatembea dar to arusha kama mwendo wako ni speed 100km/hr isizidi 120km/hr
 
Ila kama unataka kupepea ongeza wese wakukome
 
Kama mkwanja haujatulia legacy ni nzuri nshawah push iko vyema ,Mark x Ile ya 2015 ndio machine wanauza million35
Mmhhh hyo iko juu sana mkuu hyo ni ya m2 ukiwa usha settle
Lkn naona legacy kama muonekano ni wa kawaida af
Confortability ya legacy ni kama gari gani la toyota
 
Gari ni Subaru Legacy, hata body yake ni ngumu tofauti na mark x iko na body laini kama nyanya
Yaa hlo nalo nimeliona mkuu ile ki2 ni ngumu
Lkn vp kuusu kumeza vimbavu vya mbwa barabarani??
 
Fanya kununua Mark x sababu zinauzika ukipush walau mwaka unaitoa unachukua ndinga ingne....magari mazuri ni bei kubwa Ila kwa kuanzia tu chukua x sababu Toyota zinauzika kirahisi ata ukiichoka anytime inatoka
 
X zimejaa mjini bro
Ukiichukua kwa mil17 ni rahisi kwako wewe kuiuza kwa mil11/12
 
Fanya kununua Mark x sababu zinauzika ukipush walau mwaka unaitoa unachukua ndinga ingne....magari mazuri ni bei kubwa Ila kwa kuanzia tu chukua x sababu Toyota zinauzika kirahisi ata ukiichoka anytime inatoka
Ila X inanitamanisha muundo wake ulivyo
 
Fanya kununua Mark x sababu zinauzika ukipush walau mwaka unaitoa unachukua ndinga ingne....magari mazuri ni bei kubwa Ila kwa kuanzia tu chukua x sababu Toyota zinauzika kirahisi ata ukiichoka anytime inatoka
Noted
 
Subaru ngumu sana ata kimuonekano ila sina uhakika na stability yake
 
Usichokijua ni kama giza nene. speed 240-260kph hakuna wa kukusumbua? Sababu ya kuzoea kuendesha vigari vya Japan. Uliza uambiwe.
Naweza kuthibitisha kwa Tanzania ukiwa na gari la 260kph, hakuna wa kukusumbua, nikitambua kuwa gari kama Benz zipo za 300 na kuendelea, ila hatuna barabara hizo.
 
Nimewahi kuendesha Mercedes Benz yenye 300kph. Ndio maana nilikukatalia, ingawaje sikufika hata 220. Niliishia 205
 
1473160589868.jpg
1473160597310.jpg
1473160620379.jpg
 
Back
Top Bottom