Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Turbo c inakunywa sana mafta tofaut na ile nyingine au
Vp kuhusu confortability yake na premeo

Confortability yake ni nzuri ila sio kama Mark X, Mark X inakula mafuta sana kwasababu ya ukubwa wa engine yake ila perfomance haijuti Legacy.
Premio ni gari la kawaida sana.
 
Confortability yake ni nzuri ila sio kama Mark X, Mark X inakula mafuta sana kwasababu ya ukubwa wa engine yake ila perfomance haijuti Legacy.
Premio ni gari la kawaida sana.
Kama confortability inaipita premio bas inatosha
Asante sana mkuu
 
Tatizo la Mark X ni power steering system. Ikifa ni balaa maana haitumii mafuta kama gari nyingine bali inatumia umeme. Halafu inauwa sana suspensions na hizo njia zetu. That aside ni gari tamu sana
 
Mi labda tu nikushauli kama unataka gari ya kula bata hapa mjini, usihangaike chukua NISSAN PATROL iko poa sana Mzee
 
Comfortability na stability Mark X amezidiwa na Nissan Fuga tu. Nilikuwa natemebea nayo kwa 180 bila kujua maana dude limetulia sana. Kuhusu performance Legacy B4 kamzidi Mark X kidogo sana since its a sport car.
Ila Mark X ni Gari ya heshima mjini zaidi ya hiyo Legacy. So kama unataka heshima chukua Mark Matusi
 
Duh! Ntapasuka kichwa asee
Naona kama heshima yake inaenda kufa maana ziko nyingi sana mjini
 
Napenda MarkX sana,haka kagari ni katamu bwana
Japo sijawahi kumiliki,ila hata ukiniamsha usingizini gari simple nilipendalo ni MarkX.

Period
Utamiliki tu siku mamii as long as we liv
 
Jamani mimi natafuta spare shock absorber struts za gari aina ya Mitsubishi minicab pick up truck nitapata wapi? Nimetafuta sana
 
Nenda kwenye mji mkubwa kaulizie
Usipopata apo adi nairobi au kuagiza kabisa
 
Back
Top Bottom