KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
- Thread starter
-
- #161
Hiyo ni acceleration bro na hyo ni from zero na ikumbukwe gari mara nyingi ni from a specific speedstudy the following specs
> subaru 2.0i 0-100km 9.5sec 162BHP@6800rpm
> markx 2.5 0-100km 7.9sec 215BPH@6400rpm
jaribu one day kutest mark x then utapata full experience
Hiyo ni acceleration bro na hyo ni from zero na ikumbukwe gari mara nyingi ni from a specific speed
Ni kama world wide inayoongoza kwa acceleration ni tesla (gari la umeme) lkn likifika about 100 linapitwa na haya mengine yakichemka.ingia youtube
Ila mi naona ts very solid na performance nzri tu.mark x cjatumia sana ila its very nyc na responsive ila kwa performance naona subi iko frsh tu
Yeah mark iko vzr lkn hii naona ata youtube performance yake wanaonesha iko poa na kwenye kukwama ni vigum sana japo kwangu haina msaada sanaacceleration is one thing cheki horse power to body weight ratio ndo maana nika qoute vitu viwili...
ila mwisho wa siku tumia ile kitu roho inapenda kama ulivyosema "ts very solid na performance nzuri"...
Asanteni wakuu
Nimechukua legacy b4
Subaru yoyote matengenezo isikie hivo hivo.
Bei zake ni balaa!
Niambie kama unayo ndo tuongee......acha uoga ww.. kuwen na uthubutu... usinunue kitu na kukiacha kingine kwa uoga wa kitu flan..
Ki2 kama mil 15.4Hv Subaru legacy ya2008 ni bei gani kwa sasa??
Hii misemo imepitwa na wakatiSubaru yoyote matengenezo isikie hivo hivo.
Bei zake ni balaa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] serious yan ukikanyaga kidogo2 mia. Af imeshika barabara balaaaa yaan ki2 unaovertake very simplendugu yangu spea zipo nyingi tu za subaru, kuhusu ulaji wa mafuta ni wakawaida. subaru aina magonjwa mengi ni imara ukilinganisha na mark x, kuhusu barabarani ndo umefika, kitu imetulia balaa, unaweza fika spidi 100+ afu usijue umefikaje. mimi nakushauri chukua mnyama subaru b4
Kwa tanzania iloyojaa matochi utaiendeshea wapi hiyo speedUsichokijua ni kama giza nene. speed 240-260kph hakuna wa kukusumbua? Sababu ya kuzoea kuendesha vigari vya Japan. Uliza uambiwe.
Maake kuna gari kama bmw ni bei ndogo ila spare ndo shida na bei ghali sana
Na confortability during ride vp mkuu
Vipi kuhusu benze c 230 sport edtion imekaaje kicormfotability na upatkanaji wa spareChukua bmw 5series kwa ladha zote unazihitaji kwa sedan cars. ...dashboard 260km/hr iko very comfortable
Kama naomba unichek wassap na hii namba 0713508447Nimepata nafasi ya ku endesha gari zote mbili....Mark X kwa comfortability, appearance pamoja na stability iko vizuri pia ulaji wa mafuta unahitaji pochi kidogo..Tukija kwa legacy performance ipo vizuri sana na ulaji wa mafuta unategemea kwa case yangu nimetumia yenye turbo kwa hyo inategemea ikiwa ina engage..mimi ni mpenzi wa sports car ninge opt legacy kwasababu ina option ya automatic na manual kwa wakati mmoja..
Nimekuwa na Subaru model mbili mfululizo, SG5 na SF5 Forester.Subaru iko vizuri asee