secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Poor Brain saa hz kalalia mkeka haelewi hapoInasemekana mama Samuya, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.
Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.
Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo adriz de mbusii, Al-mukheef, Poor Brain, Monetary doctor, Harmful, loose Nut, kijana mlaini Hance Mtanashati na wachambuzi wengineo.
Karibuni waungwana 😎.
Labda Driz de MafweleMafwele nitafanya ile kitu roho yake haipendezwi nayo.
Atulie tu bongo hatuna maandaki ya kwenda kujifichaInasemekana mama Samuya, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.
Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.
Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo adriz de mbusii, Al-mukheef, Poor Brain, Monetary doctor, Harmful, loose Nut, kijana mlaini Hance Mtanashati na wachambuzi wengineo.
Karibuni waungwana 😎.
Hahaha, mfungo si kitu kizuri.Poor Brain saa hz kalalia mkeka haelewi hapo
Mbona naambiwa huwa akisemacho hakipingwi.Atulie tu bongo hatuna maandaki ya kwenda kujificha
Hahaha 😂.
Tatizo wanaopigana wenyewe ni IRAN USA na ISRAEL hawasikii la muadhini wala la mnadi swala 😅Mbona naambiwa huwa akisemacho hakipingwi.
Nilidhani mama yangu ni Alfa na Omega kumbe siyo!Tatizo wanaopigana wenyewe ni IRAN USA na ISRAEL hawasikii la muadhini wala la mnadi swala 😅
Huyo Mzee Babu kaanza kupiga maPapa huko Iran kwanza hawa dagaa wa kizimkazi anawalia timing tu ni kunyakua tu na kuondoka nao wakajibu huko mbele hawapigi hata bomb juu ya kichwa, Khamenei kaua raia walioandamana Trump kamshushia rungu juu ya kichwa huku kizimkazi kaua raia walioandamana Trump kala ganzi
Anasubiri kusurubiwa na yeye tulia mkuuNilidhani mama yangu ni Alfa na Omega kumbe siyo!
🤔.
Umekosa cha kuandika. Tangu lini chawa akahusishwa kwenye mambo ya binadamu? Tuonee huruma.Inasemekana mama Samuya, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.
Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.
Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo adriz de mbusii, Al-mukheef, Poor Brain, Monetary doctor, Harmful, loose Nut, kijana mlaini Hance Mtanashati na wachambuzi wengineo.
Karibuni waungwana 😎.
Inasikitisha kimtindo!Anasubiri kusurubiwa na yeye tulia mkuu
😂🤣Hahaha, mfungo si kitu kizuri.
Unasemaje kijana? Sijaelewa.Umekosa cha kuandika. Tangu lini chawa akahusishwa kwenye mambo ya binadamu? Tuonee huruma.
Mgogoro wa mashariki ya kati ni wa binadamu. Hivyo, auhitaji chawa au funza kusaidia wakati naye anahitaji msaada kwa kusagwa na kufa asieneze magonjwa. Ila mie si kijana. Ni baba yako.Unasemaje kijana? Sijaelewa.