Ipi nafasi ya Rais Samia katika kumaliza mgogoro wa Mashariki ya Kati?

Ipi nafasi ya Rais Samia katika kumaliza mgogoro wa Mashariki ya Kati?

Acha utani basi Yani urais umepatikana kibahati temu ya kwanza na kimabavu temu ya pili uwe na IQ za kukaa in tripartite ya netanyahahu Trump na Irani?
 
Inasemekana mama Samia, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.

Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.

Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo adriz de mbusii, Al-mukheef, Poor Brain, Monetary doctor, Harmful, loose Nut, kijana mlaini Hance Mtanashati na wachambuzi wengineo.

Karibuni waungwana 😎.
Ooooh 😂😂😂😂😂 et vijana machachali daaaah
 
Labda aende kama mwanamke na si kama kiongozi kwa elimu ya hapa na pale atashaur nn

Wanawake wananafas kwa wanaume mkuu wapo wazee wenzake watashauriana faragha katika hal ya utupu
 
Back
Top Bottom