secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #21
Hahaha, hapo nimekuelewa. Ila hapo unaposema wewe ni baba yangu sikubali.Mgogoro wa mashariki ya kati ni wa binadamu. Hivyo, auhitaji chawa au funza kusaidia wakati naye anahitaji msaada kwa kusagwa na kufa asieneze magonjwa. Ila mie si kijana. Ni baba yako.
Kobazi tumeyakanyaga safari hii.Kiboko wenu kobaz π
Kubali kataa ruka kimbia na fanya lolote. Mimi ni baba wa wote ukiwamo wewe na wazazi wako.Hahaha, hapo nimekuelewa. Ila hapo unaposema wewe ni baba yangu sikubali.
Nafasi yake kwa hilo ni 0,Ipi nafasi ya mama Samia Suluhu Hassan, katika kumaliza mgogoro wa mashariki ya kati?
Haya, nimekubali tu Kwa leo ili nawe ufurahi mkuu.Kubali kataa ruka kimbia na fanya lolote. Mimi ni baba wa wote ukiwamo wewe na wazazi wako.
Nasikia kadhalilishwa na Kitima. Chawa wake Luca analalamika humu.Nafasi yake kwa hilo ni 0,
kwake tu pamemshinda. Nasikia anazuia wamama wenzake kujumuika kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
HeheheKuanzia kesho nakuendelea utanipa heshima yangu ama nitaichukua kwa nguvu.
Kama hujamwalika Lucas Mwashambwa kwenye hili umekosea sanaππInasemekana mama Samia, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.
Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.
Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo adriz de mbusii, Al-mukheef, Poor Brain, Monetary doctor, Harmful, loose Nut, kijana mlaini Hance Mtanashati na wachambuzi wengineo.
Karibuni waungwana π.
Jaribu. Ukinikosea, utashughulikiwa na wasiojulikana. Mie ni baba wa wote sawa na samuya alivyo mana wa wote hasa machawa.Haya, nimekubali tu Kwa leo ili nawe ufurahi mkuu.
Kuanzia kesho nakuendelea utanipa heshima yangu ama nitaichukua kwa nguvu.
Yule si mchambuzi. Anaegemea upande wa mama yake.Kama hujamwalika Lucas Mwashambwa kwenye hili umekosea sanaππ
Hahaha.Jaribu. Ukinikosea, utashughulikiwa na wasiojulikana. Mie ni baba wa wote sawa na samuya alivyo mana wa wote hasa machawa.
Muoshambwa ni funzaYule si mchambuzi. Anaegemea upande wa mama yake.
Yule dogo sijui kwao wanamchukuliaje.Muoshambwa ni funza
Walikuwa wanamdharau alivyokuwa akijdhalillisha na kujikomba apewe kitu akatoka patupu.Yule dogo sijui kwao wanamchukuliaje.
Nafurah sana mnavyopelekewa moto πKobazi tumeyakanyaga safari hii.
Levo aliyofikia inatia huruma sana. Badala ya kumtukana anatakiwa apatiwe msaada wa kisaikolojia.Walikuwa wanamdharau alivyokuwa akijdhalillisha na kujikomba apewe kitu akatoka patupu.
Hili nalo litapita, π.Nafurah sana mnavyopelekewa moto π
Ni kweli. Ana changamoto ya afya ya akili sawa na wale aliokuwa akiwaramba matakoo.Levo aliyofikia inatia huruma sana. Badala ya kumtukana anatakiwa apatiwe msaada wa kisaikolojia.
Litapita, then litakuja lingine kubwa kulikoHili nalo litapita, π.