secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #41
Hebu fikiraia kiumbe kinaona wivu na kununa kisa hakijapigiwa makofi na wananchi kwenye hafla.Ndiyo hiyo mwanangu. Tumefikishwa pabaya na viumbe hawa wabaya na laanifu.
Huyo alipaswa kupigwa na siyo kupigiwa makofi. Wanatia huruma viumbe hawa wachafu na walafi.Hebu fikiraia kiumbe kinaona wivu na kununa kisa hakijapigiwa makofi na wananchi kwenye hafla.
Hovyo sana.
Shida sisi watanganyika ni wasahaulifu sana. Yale ya 29 October 2025 tumeshaanza kuyasahau.Huyo alipaswa kupigwa na siyo kupigiwa makofi. Wanatia huruma viumbe hawa wachafu na walafi.
Hapana. Wakati muafaka haujafika. Kuna siku utakumbuka maneno haya baada ya samuya kutokomea kwenye kaburi la sahau atakapotema bungo mwanangu.Shida sisi watanganyika ni wasahaulifu sana. Yale ya 29 October 2025 tumeshaanza kuyasahau.
Karibu sanaNaunga mkono hoja.
Niko ndani tayari.Karibu sana
Niko ndani tayari.Karibu sana
Hahaha ππ€£.Keshasema anaombea US na Iran waelewane so atakuwa anasugua goti mida hii
Sheitwan kebir. Bint almuthnaq sharmutah kebir audhubillahi minnashaitwan rajiim.Keshasema anaombea US na Iran waelewane so atakuwa anasugua goti mida hii
Ooooh πππππ et vijana machachali daaaahInasemekana mama Samia, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga.
Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya.
Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo adriz de mbusii, Al-mukheef, Poor Brain, Monetary doctor, Harmful, loose Nut, kijana mlaini Hance Mtanashati na wachambuzi wengineo.
Karibuni waungwana π.
Daaaah mwanangu show kali ujue πππππππ hii swaumu hiiPoor Brain saa hz kalalia mkeka haelewi hapo
Ntumie email yako nikuchek hapo πDaaaah mwanangu show kali ujue πππππππ hii swaumu hii
Nakuchek mkuu ππππNtumie email yako nikuchek hapo π
Haina nouma bossNakuchek mkuu ππππ
Fayaaa π₯.Ooooh πππππ et vijana machachali daaaah