Ipi nafasi ya Tanzania katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo (DRC)?

Duh hii mpya sasa..ila sidhani
We 're not safe any more, Tuache uzwazwa hakuna Mungu anaelinda Nchi. Kikubwa tujipange kimkakati vinginevyo tutashtuka ikiwa too late.
Kabisa bado tuna chance nzuri tu.
 
Bwana kagame aishie tu kukamata maeneo ya congo, kwa tz asifikirie wala kujaribu, tuko imara, tutamfurusha mpaka kigali
Huku hawezi kuteka au kukamata maeneo maana hana ushawishi ila kupitia maeneo atayoyakamata Congo tutanyooshwa vibaya sana maana hayo maeneo yana umuhimu mkubwa sana kiuchumi kwa Tanzania.
 
Congo ni kubwa jina acha itumike.
 

Nafasi gani chini ya huyu Mama
 
Kikao cha magenerali wa Tanzania kimefunguliwa leo na Rais natamani sana jambo la Congo na nafasi yetu kwenye mgogoro huo lijadiliwe na litolewe maamuzi haraka.. bado tuna nafasi kubwa sana ya kuwa salama kama tutacheza kete zetu vyema.
Nchi hii imegawanyika and it is so vulnerable such that Kama RWANDA itaishambulia Leo na kutwaa ardhi inayoinyemelea, itafanya hivyo kiurahisi sana!!
Kitu cha Tanganyika kufanya wakati huu ni Kumuondoa huyu mama KIRUSI halafu kuunda serikali itakayokubalika na wananchi!! Kukiwa na serikali halali hapo itakuwa rahisi kulinda mipaka na usalama wa nchi kwa ujumla!! Currently the country is constrained both financially and in terms of the morale of the whole population.
 
Sisi tuendelee kulinda amani ya nchi yetu kwa kutumia majeshi yote😃
 
Mimi nilijua tu, pale wanamchekelea Mzee Trump,kule Washington, eti hoo tumekubaliana hakuna kuendelea na vita Congo................Huyu Kagame, ni mtu hatari saaana kwa Afrika Mashariki!!
 
Mimi nilijua tu, pale wanamchekelea Mzee Trump,kule Washington, eti hoo tumekubaliana hakuna kuendelea na vita Congo................Huyu Kagame, ni mtu hatari saaana kwa Afrika Mashariki!!
Unashauri nini kifanyike.
 
1. Tuweke wazi kwamba hatutamgusa yeyote[rwanda,m23,burundi,drc] ambaye hatatia mguu wake Tanzania.

2.Tutoe onyo kwamba ardhi ya Tanzania haitatumika kumshambulia yeyote, na hatutapokea wakimbizi.

3.Tuelekeze nguvu zetu katika kutatua mgogoro wa kisiasa wa ndani ya Tanzania.

4.Tuwaeleze majirani zetu kwamba tutakuwa tayari kufanya kazi na yeyote atakayeshinda vita vya DRC.
 
Kikao cha magenerali wa Tanzania kimefunguliwa leo na Rais natamani sana jambo la Congo na nafasi yetu kwenye mgogoro huo lijadiliwe na litolewe maamuzi haraka.. bado tuna nafasi kubwa sana ya kuwa salama kama tutacheza kete zetu vyema.
TZ yenyewe ni NEXT DRC.

Dalili zote ziko wazi
 
Humu kuna uongo mwingi sana
 
Kabila yupo upande wa M23,na kabila ni msela ambae kakulia bongo pia na ana makazi nadhani,so kumtandika ndugu yetu ni kipengele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…