Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

3375

Member
Joined
Jan 22, 2025
Posts
7
Reaction score
2
Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
 
Vipi kuhusu soko kwa hapa Tanzania kwasababu wengi wanasema kwaya Tanzania soko bdo sio kubwa san
Soko la Teknolojia halina mipaka mkuu.

Jikite kwenye kutatua changamoto za taasisi, wafanyabiashara, wajasiliamali, wakulima n.k

Mfano, kuna watu waliona fursa kwa wafanyabiashara wakatengeneza application za kutoa risti na wanatoza zaidi ya USD 20 kwa mwaka kwa kila mtu.

Huyu mtu kama ana active users 5000 maana yake anaingiza USD 100K kwa mwaka.
IMG_20250123_102905_545.jpg
 
Soko la Teknolojia halina mipaka mkuu.

Jikite kwenye kutatua changamoto za taasisi, wafanyabiashara, wajasiliamali, wakulima n.k

Mfano, kuna watu waliona fursa kwa wafanyabiashara wakatengeneza application za kutoa risti na wanatoza zaidi ya USD 20 kwa mwaka kwa kila mtu.

Huyu mtu kama ana active users 5000 maana yake anaingiza USD 100K kwa mwaka.View attachment 3210810
Nikwel kabsa mkuu kwa ulicho kizungumza kikubwa ni kuwa na ubunifu mkubwa na unao gusa maisha ya kila siku
 
🤣🤣 Kwa hyo mbali na hapo.....
Kwa huku bongo utaishia kupata kamshaara kanono ila siyo kutajirika, ila kwenye software development kama utakua innovator mzuri you can break the barrier.
Vilevile hata ukiwa good developer, kama sio creative bado hutoweza kuwa tajiri.
 
Kwa huku bongo utaishia kupata kamshaara kanono ila siyo kutajirika, ila kwenye software development kama utakua innovator mzuri you can break the barrier.
Vilele hata ukiwa good developer, kama sio creative bado hutoweza kuwa tajiri.
Shukran bro Nmekupata vzur
 
Back
Top Bottom