Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Mimi muda wangu nautumia kusoma hizo taarifa na nikimaliza natazama video zake YouTube.Safi mkuu nimekubali Sana.. No 1, 2 na 6 nilitegemea niyaone kwako.
Jerryrig ana balaa , smartphone mpya kabisa inachakazwa !! Sijui anatoaga wapi ujasiri ule1. Lewis wa unboxtherapy is the best...
2. Jerryrigeverything
3. LinusTechtips
4. Slowmo guys [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Others, mkbhd, techmeout
Watazamaji mnailipia iyo smartphone kwa view zenuJerryrig ana balaa , smartphone mpya kabisa inachakazwa !! Sijui anatoaga wapi ujasiri ule
Channel zingine nnazozipenda-kwa gadget ni huyu MKBHD nyoko Sana huyu
-Pia nikiwa bored naenda kwa prince nipate motivation.
-kwasababu napenda geopolitics nawakubali Sana vox & vice news hasa uchambuzi wao juu ya mashariki ya kati.
Sawa kabisa ila hao jamaa Lockheed Martin kiukweli nawakubali mno.Asante mkuu. Mimi muda wangu nautumia kusoma hizo taarifa na nikimaliza natazama video zake YouTube.
Napenda vita kwa kuwa ndiyo issue yangu ya kwanza niliyoielewa kimataifa. Mwaka 2007 nilikuwa nasikiliza sana DW kina H. Amidou walikuwa wanamsema Osama kila siku. Mwaka 2008 kulikuwa na vita ya Georgia na Russia nikawa nasoma na kusikia. Mwaka huo baba mdogo akatutembelea alipotaka kwenda Middle East kijeshi. First exposure yangu ya habari za kimataifa ni vita na mapigano.
Moja tu?cinemaSins
moja tu mkuu, tena ni ya ku refreshMoja tu?
Kama unapenda channel za aina iyo kunaOnherbike- Ni mdada mmoja anaitwa Kinga raia wa Australia,aliondoka Australia toka 2017 to date akizunguka na pikipiki MBW yenye 800cc alishapita na hapa Tanzania,hua anarusha episode zake na sipitishi siku bila kufungua hiyo
hakuna anayepoteza hela nyingi youtube nzima kama Mr BeastWatazamaji mnailipia iyo smartphone kwa view zenu
Anapataga wapi hela zake, maana niliona alimlipia hela nyingi pewdiepie matangazo kwenye billboard za timesquare newyork wakati anashindana kupata subscriber wengi na ile channel ya indiahakuna anayepoteza hela nyingi youtube nzima kama Mr Beast
anapata kupitia views na ads.Anapataga wapi hela zake, maana niliona alimlipia hela nyingi pewdiepie matangazo kwenye billboard za timesquare newyork wakati anashindana kupata subscriber wengi na ile channel ya india
Wazungu wanajua kufanya calculated risksanapata kupitia views na ads.
kuna jamaa walicalculate wakaona anaweza kuingiza $2M per month.
Ndomana kila month anaspend zaidi ya $1M kwenye content zake