Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

kabisa maana ukilipwa umefungwa.

na hawa jamaa ukitaka kuelewa wanachosema,huwa hawacheki na kima.ukizingua unaambiwa ķabisa kwamba hapa umepuyanga.ndio maana kampuni zenye majina zinawaheshimu,maana wao ndio wanaendesha mlinganisho mkono kwa mkono sio kampuni husika.
Ila nilichogundua online mtu akiwa na content safi na viewers wakaamini katika content zake basi ela iko nje nje
 
Zangu ni

1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na anachekesha kweli jinsi anavyokuwa ana narate. Yani hachoshi anafanya complicated topics zinakuwa rahisi na za kuvutia.

2. Mrwhosetheboss - Huyu jamaa namkubali sana kwa uchambuzi wake wa mambo ya teknolojia yanayohusiana na simu. Jamaa ni mkali sana sana na napenda jinsi anavyofanya details ngumu zikawa rahisi. Kupitia kwake utajua mambo mengi sana sana.

3. Coldfusion - Hii pia ni channel nzuri ya kujifunza mambo mengi yahusuyo technology na utapata kuijua Tesla na technology zao zinavyozidi kukua

4. Megaprojects - Hii uonyesha project za ujenzi kubwa kubwa sana duniani.

Je wewe zipi channel zako pendwa?


Myles Monroe jamaa anakipaji cha kuchambua bible na kuweka kataika maisha yetu ya kila siku
 
Nilimsahau Mr mobile nae ni mkali sana.
 
1. Coding in Flow (huyu jamaa anajua code na anaelekeza anaeleweka kirahisi na mpangilio mzuri wa code, so far ana provide za Android pekee)

2. Mahubiri Tv (hapa yupo pastor mmoja anaitwa David Mmbaga aisee hachoshi mda anahubiri)
 
Habarti na Matukio
  1. Millard Ayo
  2. Azam TV
  3. Kenya News Alerts TV
Mafundisho ya Dini na Maisha
  1. Chomoza TV
  2. Pastor Daniel Mgogo
  3. Davistar Mata Media
  4. Great Ideas Great Life
Historia, Uchumi na Siasa
  1. Ananias Edger
  2. TEDx Talks
  3. Make Afrika Great
Vichekesho
  1. NTV Prankstars
  2. Just For Laughs Gags
 
Sam Chui
MKBHD
IJustine
LinusTechTips
Mr.WhoTheBoss
TechAlter
TheStraightPipes
CarWow
Wendover Productions
PollyMatter
Cold Fusion
Kara and Nate
AutoToppnl
MercBenzKing
TheLuxuryTravelExpert
The B1M
Eater
ThrottleHouse
UDY

Hizo ndo nimezikumbuka harakaharaka.

Nikikumbuka nita update.
 
hahaha. true true.
ishu ya Marques ni kwamba amekuwa a very big hit kufikia hatua ambayo akipewa review unit anai-review as if anai-advertise.
ukiongeza na vihela vya YT na Sponsors, ndo unaona kama saivi anahamia kwa Teslas, TVs, interviews kali etc
ila bado amepambana sana yule chalii kufika hapo alipo.

Lewis ni ahaha,...jamaa anavita vikali sana na Apple.
Kwa level alofika mkbhd lazima atakuwa influenced kwenye marketing zaidi kuliko actual feeling.

Pia jamaa ana focus zaidi kwenye quality ya video kuliko content zaidi ndo maana ana invest zaidi muda kwenye video moja.

Ndo maana anaweza toa video moja kwa week kwake isimletee tatizo manake hata asipotoa video hata moja mwezi mzima, anaingiza mpunga mwingi zaidi.

Kwa jinsi anavyo invest kwenye video moja, si rahisi ku review kila kitu manake huo muda hawezi kuwa nao.

Ndo maana sasa ana review high end products tu au based on his preference or hobby.

Alikuwa na retro tech series, sahivi imesimama kwasababu ya Techtober na techvember.
 
aliishamhoji zurkberg wa facebook na billgate[emoji23][emoji23].

hapa ndio utajua mbele ni mbele tu. youtuber wa bongo kazi kupost uzushi wa zuchu tu.
Jamaa ana influence pia.

Hao kina Zucker na Bill hawawezi kubali kuhojiwa na mtu mjinga mjinga. Lazima wamfanyie vetting.

Mkbhd anajielewa sana content wise.
 
Duh dogo anakula pesa matangazo n.k. Niliona MrWhoseTheBoss aliitwa Finland makao makuu ya NOKIA wakaanza kumwonyesha teknolojia zao mpya za drone na mambo mengine.
Halafu kumbe simu uwa zinawaomba wareview matoleo yao na kampuni nyingine zinawatumia kabisa hadi simu zikishazinduliwa.
Review unit wanaweza tumiwa hata week mbili kabla ya actual unveiling.

Wewe unaiona one plus 8t ila yeye alishakuwa nayo week 2 kabla.

Ndo maana unaweza ona wanashusha wote video zao siku moja.
 
Review unit wanaweza tumiwa hata week mbili kabla ya actual unveiling.

Wewe unaiona one plus 8t ila yeye alishakuwa nayo week 2 kabla.

Ndo maana unaweza ona wanashusha wote video zao siku moja.
Itabidi mimi nianzishe ya kureview bidhaa za Tanzania, juice za Azam na moe, sembe, pipi na biscuit. 😀 😀 😀 😀 😀 😁
 
Back
Top Bottom