Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi mimi nianzishe ya kureview bidhaa za Tanzania, juice za Azam na moe, sembe, pipi na biscuit. π π π π π [emoji16]
Upande wa TECH
1.MKBHD
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
2.JERRYRIGSEVERYTHING
![]()
![]()
![]()
3.MRWHOSETHEBOSS
![]()
![]()
![]()
4.LATERCLIPS
Hii na ya Lewis Hilsenteger yuko na mchizi wake wa kwenye unboxing therapy,hiii nimetokea kuipenda zaidi ya hata unboxing therapy
![]()
![]()
Entertainment
1.MR BEAST
![]()
![]()
2.BIGDAWS
![]()
![]()
![]()
3.FAZERUG
![]()
![]()
Hata TBC mkuu..πNimeingia chimbo sio Sina hata moja nayoijua
hahaha zile Thumbnails mkuu zinavutia sana,au unakuta kama anafungua box linalotoa mwanga fulani hivihuyu jamaa wa unboxingtherapy huwa ananifurahisha sana.
kwanza ile picha ya video anaisogeza simu inakuwa kubwaa,kama anakuonyesha hivi[emoji28][emoji28][emoji28]
Daaah!! Niche hapo ndio tatizo linapoanzia Sasa. AseeSiyo rahisi inahitaji muda na utengeneze niche moja ya kuvutia.
Kwanini tena?Mimi haya mambo ya youtube na blogging yalinishinda aisee
[emoji23]My best channel on YouTube
1 Wasafi Media
2 CLOUDS MEDIA
3 Millardayo
4 Global Online TV
5 Tricod Media
6 Joel nanauka..... huyu ni live Couch
7 Bongo5
Emmanuel kasomi <<<<kwa habari mbalimbali na burudaniZangu ni
1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na anachekesha kweli jinsi anavyokuwa ana narate. Yani hachoshi anafanya complicated topics zinakuwa rahisi na za kuvutia.
2. Mrwhosetheboss - Huyu jamaa namkubali sana kwa uchambuzi wake wa mambo ya teknolojia yanayohusiana na simu. Jamaa ni mkali sana sana na napenda jinsi anavyofanya details ngumu zikawa rahisi. Kupitia kwake utajua mambo mengi sana sana.
3. Coldfusion - Hii pia ni channel nzuri ya kujifunza mambo mengi yahusuyo technology na utapata kuijua Tesla na technology zao zinavyozidi kukua
4. Megaprojects - Hii uonyesha project za ujenzi kubwa kubwa sana duniani.
Je wewe zipi channel zako pendwa?
Upload trending topics consistently kama 35 huku ukishare video zako Facebook, WhatsApp,Nimefungua channel yangu kwa wiki nne nimepata views 20 tu! Subscribers 7 tu! Jamani!
Hii kazi ya YouTube ngumu saana.