Ipi ni lubricant nzuri kati ya TOTAL na CASTROL?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu habar zenu.
Hivi kati ya lubricant/oil kati ya kampuni ya TOTAL na CASTROL ipi ni nzuri na ipo juu ya mwenzie? Hapo namaanisha quality. Naona watu wengi wanatumia total kuliko castrol.

Ipi ni kampuni nzuri hapo? Karibuni wataalamu.
 
Changamoto kubwa ambazo madereva wa Tanzania wanakutana nazo katika ishu ya oil wala siyo ishu za ni kampuni ipi inazalisha oil bora zaidi bali ni hizi changamoto kuu mbili:

1.Kuweka oil kwenye gari ambayo viscosity yake haijawa recommended na manufacturer,mfano kwenye gari ya IST manufacturer amerecommend iwekwe oil yenye viscosity ya 5W30 lakini mtu anaweka oil ya Tractor(SAE40) kwa sababu inauzwa bei rahisi.Hii kitu huua engine haraka mno!

2.Kuweka oil ambayo viscosity yake ni recommended na manufacturer lakini ni oil fake.Oil zinazouzwa madukani hapa Tanzania asilimia 90 ni fake.Hili nalo huua engine haraka mno.
 

Ukitaka upate OG kwa hapa DSM wapi ni uhakika mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…