Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Ipo juu balaaa.... Nadhani galon moja ya Castrol, kule ni kama laki mbili na usheeNaijua ila sijaitumia.Unaweza kunipa sifa zake hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo juu balaaa.... Nadhani galon moja ya Castrol, kule ni kama laki mbili na usheeNaijua ila sijaitumia.Unaweza kunipa sifa zake hapa
Jamaa wale kila bidhaa yao ipo high priced . Kuna kipindi nilikwenda pale ofis zao, kuuliza taarifa za bidhaa zao duh....!Naijua ila sijaitumia.Unaweza kunipa sifa zake hapa
Akikujibu kiufundi nishtuwe!Naijua ila sijaitumia.Unaweza kunipa sifa zake hapa
Unaishangaa Castrol!Mmmmmmhmn Castrol, bro unaijua liquimoly ile ya wajerumani sijui?!
We jamaa upo wazi sana kichwani! Kumbe huwa tu aku overrated sana! Tuombe msamaha kwa kubishana nasiIna Viscosity nyingi.
As per your manufacturer manual.Ni wakati gani natakiwa kuweka lubricants?
Sio kweli oil zote zina viwango sawa mfano tatal 5w30 ni sawa na castrol 5w30 na kiwango cha mails angalia recommend za gar yako wanasema uend km ngapHpn inategemeana wanasema Castrol oil inatembea mail nyingi ukikinganisha na total mfano Kama unatembea Kim elf 3000 bas hyo Castrol oil inafika elf 5000
Oil zinatofautiana sana hata kama zitakuwa na rating aina moja kwenye maelezoSio kweli oil zote zina viwango sawa mfano tatal 5w30 ni sawa na castrol 5w30 na kiwango cha mails angalia recommend za gar yako wanasema uend km ngap