complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 421
- 1,289
Toyota Kariakoo wana oil recommended za gari ya Toyota na hawauzi bila kua na Chasis namba husika ya gari unayotaka kununulia oil
Oil ya Total ni bei nafuu kulinganisha na Castrol kutokana na recommendation za SAE.
Mfano kiwanda huweza kupewa guge ya 1 - 10 za ubora ambapo 10 ndio bora na 1 ni grade ya chini haifai kutumika kabisa, lakini kwenye interval hiyo hiyo kiwanda kinaruhusiwa kutengeneza bidhaa ambayo itaangukia kiwango cha ubora wa 6 mpaka 10 ambapo kwa kiwango hicho kitaruhusiwa kuuzwa kwa ajili ya matumizi
Kinachotokea kwavile sisi wengi hupenda vitu vya bei ya chini kiwanda kitatengeneza oil yenye kiwanga cha 6 ambapo oil hii itakua nafuu katika soko hivo kua kimbilio la wengi
Kiwanda kingine hutengeneza oil kwa grade ya 10 ambayo bei yake pia hua juu kulingana na gharama na materila walizotumia
Tukumbuke oil yenye kiwango cha 6 kati ya 10 sio kwamba ni feki lakini muongozo wa SAE (Society of Automotive Engineering) wanaruhusu oil hii iuzwe katika soko lakini kiwango chake sio sawa na kile cha oil iliotengenezwa kwenye kiwango cha 10 kati ya 10
Kwa Tanzania oil iliokua inatengenzwa kwa kiwango cha 10 kati ya 10 ni SINOPTEC walifungua branch Kariakoo (msimbazi) lakini kutokana na bei hawakuweza kukaa muda mrefu wakafunga ofisi za Kariakoo sijajua kama wako ama walihamia kwingine
Ukinunua gari kutoka Toyota 0km ndani ya warranty/ guarantee ni kwamba service zote kwa KM au mudafulani ni lazima ufanye kwao kuepuka kwenda kueka oil zisizo na kiwango
Niongezee kusema Tanzania hatuna vitu feki lakini kukubali kuingiza vitu vilivotengenezwa kwenye scale ya low recommend baina ya viwango vilivowekwa na mataifa makubwa ndio kinachotuumiza wote.