Ipi ni lubricant nzuri kati ya TOTAL na CASTROL?

Naijua ila sijaitumia.Unaweza kunipa sifa zake hapa
Jamaa wale kila bidhaa yao ipo high priced . Kuna kipindi nilikwenda pale ofis zao, kuuliza taarifa za bidhaa zao duh....!

Yaani zipo juu balaa.
 
Ni wakati gani natakiwa kuweka lubricants?
 
Hpn inategemeana wanasema Castrol oil inatembea mail nyingi ukikinganisha na total mfano Kama unatembea Kim elf 3000 bas hyo Castrol oil inafika elf 5000
Sio kweli oil zote zina viwango sawa mfano tatal 5w30 ni sawa na castrol 5w30 na kiwango cha mails angalia recommend za gar yako wanasema uend km ngap
 
Sio kweli oil zote zina viwango sawa mfano tatal 5w30 ni sawa na castrol 5w30 na kiwango cha mails angalia recommend za gar yako wanasema uend km ngap
Oil zinatofautiana sana hata kama zitakuwa na rating aina moja kwenye maelezo
Na dio kinatochanya oil zenye ratin aina moja kutofautiana bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…