Ipi ni njia bora: Kufungua biashara kama mtu binafsi au kwa kutumia kampuni?

Ipi ni njia bora: Kufungua biashara kama mtu binafsi au kwa kutumia kampuni?

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Wakuu,

Kuna biashara nawaza kuianzisha, sasa kwa mazingira ya sasa ya nchi yetu na kwa mustakabali wa biashara husika, njia ipi ni bora?

Kufungua biashara na kuiendesha kama mtu binafsi au kuiendesha chini ya kampuni?

Faida na hasara zake ni zipi?

Hebu wazoefu fungukeni.
 
Back
Top Bottom