Ipi ni sababu ya mwanamke kubadilika na kuwa chui baada ya kuolewa?

Ipi ni sababu ya mwanamke kubadilika na kuwa chui baada ya kuolewa?

Pili wanandoa wengi wa miaka hii wameshindwa kujishusha.. Sijui ni kwa sababu ya uhuru wa kiuchumi sijui

Ila si mwanamke si mwanaume wote wapo juu.. Na mafahali wawili hawakai zizi moja. Mkishaanza hunitishi na huyu naye hunitishi basi hapo hakuna ndoa tena..
 
Tatu kuna suala la kushindwa kutimiza majukumu ya ndoa.. Ndoa ni taasisi inayohitaji kuhudumiwa na kila mmoja wa nyie wanandoa.. Inapotokea mmoja wenu au wote mmeshindwa kutimiza majukumu ya ndoa basi hapo hakuna ndoa tena.. Ntakupa mfano.. Mmeoana leo mnaingia ndani mke anataka Msaidizi wa kazi za ndani.. Tena bila aibu anakuambia hujaoa mpishi.. Wakati mwingine mume au mke kwa sababu zake zisizo na kichwa wala kiuno anaamua kumnyima mwenza wake tendo la. ndoa.. Wakati mwingine baba anashindwa kuhudumia familia yake kwa chakula malazi na gharama nyinginezo.. Ikifikia hapo hiyo ndoa haipo tena..
 
Sababu kuu kinachowafanya waolewe sio ndoa Bali mashaka ya hatma Yao kiuchumi TU!ikijibiwa mapema hiyo wanaongeza malengo mengine ambayo mume anaweza asiwe mpango kazi was malengo hayo mapya!!

Yasipotimia ndio anakumbuka mistari ya zamani aliyoigomea anaaangalia kama anaweza kupata chochote kwenye mistari ya msela yule aliemshit!!

Niliwahi tongoza akagoma alipoolewa akataka sikumtaka tena!sikutaka kuwa chaguo la pili!!
 
Shida ni hao wawili kukosa hofu ya Mungu...
..
hii inapelekea kutojali
...kutokupenda kweli
...kuhalalisha dhambi hapa including michepuko kuwa part ya maisha baada ya ndoa
Sababu zingine zinaweza kuwa
...maroho machafu ya kishetani kutoka kwa watazamaji kwenye harusi yenu..sio kila jicho likutazamalo ni zuri....
Dah Asante kwa kuniambia, kumbe kwenye masherehe Kuna watu wenye nia mbaya wanaweza penyeza ajenda zao za uharibifu?
 
Kuna mengi baba.. Mengi sana.. Kwanza wanandoa wengi huwa na mategemeo makubwa sana kwa wenza wao kiuchumi.. Hii ni kwa wanawake wengi.. Anaingia kwenye ndoa akijua kuwa gharama zote za maisha kuanzia kula yake kulala kwake urembo wake mavazi yake mpaka starehe zake vitagharamiwa na mumewe.. Anapokuta huyo mume hamudu hizo gharama ndio migogoro huanza..
Vp mkuu? kimya sana tumalizie lile jambo letu PM tafadhali.
 
huu ni mshono au
Ila tuseme ukweli jamani.,,,wake za watu waliowengi wanakigawa mbaya aisee😔 mi nadhani tatizo ni kuingia kwenye ndoa kwa sababu fulani binafsi na siyo upendo..,,yaan ukimpenda mtu ni lazima utaona kinyaa kuingiza mbegu za mwanaume mwingine..,,lakini kuna wanachepuka ili kupata hela ya vikoba na na wengine ili kupata hela ya kulelea watoto Baada ya kukosa huduma kutoka kwa mume. Mwenyezi Mungu aingilie kati hizi ndoa.🙏🏽
 
Tatizo ni kwamba wanaoa malaya siyo bikira. Vijana oa bikira, hizo tabu za ndoa hutakutana nazo.

Unaoa dem ana ma X zaidi ya 20 kila mmoja kagonga kwa muda wake. Wewe utawezaje mla peke yako wakati humo zishaingia zaidi ya 20?
 
Back
Top Bottom