St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Dah Asante kwa kuniambia, kumbe kwenye masherehe Kuna watu wenye nia mbaya wanaweza penyeza ajenda zao za uharibifu?Shida ni hao wawili kukosa hofu ya Mungu...
..hii inapelekea kutojali
...kutokupenda kweli
...kuhalalisha dhambi hapa including michepuko kuwa part ya maisha baada ya ndoa
Sababu zingine zinaweza kuwa
...maroho machafu ya kishetani kutoka kwa watazamaji kwenye harusi yenu..sio kila jicho likutazamalo ni zuri....
Vp mkuu? kimya sana tumalizie lile jambo letu PM tafadhali.Kuna mengi baba.. Mengi sana.. Kwanza wanandoa wengi huwa na mategemeo makubwa sana kwa wenza wao kiuchumi.. Hii ni kwa wanawake wengi.. Anaingia kwenye ndoa akijua kuwa gharama zote za maisha kuanzia kula yake kulala kwake urembo wake mavazi yake mpaka starehe zake vitagharamiwa na mumewe.. Anapokuta huyo mume hamudu hizo gharama ndio migogoro huanza..
Nipe muda kaka tutaendelea..Vp mkuu? kimya sana tumalizie lile jambo letu PM tafadhali.
Nashukuru kaka uwe na wakati mwema.Nipe muda kaka tutaendelea..
Ila tuseme ukweli jamani.,,,wake za watu waliowengi wanakigawa mbaya aisee😔 mi nadhani tatizo ni kuingia kwenye ndoa kwa sababu fulani binafsi na siyo upendo..,,yaan ukimpenda mtu ni lazima utaona kinyaa kuingiza mbegu za mwanaume mwingine..,,lakini kuna wanachepuka ili kupata hela ya vikoba na na wengine ili kupata hela ya kulelea watoto Baada ya kukosa huduma kutoka kwa mume. Mwenyezi Mungu aingilie kati hizi ndoa.🙏🏽