TihZ Senior Member Joined Jul 31, 2012 Posts 158 Reaction score 26 Dec 22, 2012 #1 Ipi ni sahihi kati ya SIMU YA MKONONI SIMU YA KIGANJANI
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,544 Dec 22, 2012 #2 Simu ya kiganjani..yaani handset.
TihZ Senior Member Joined Jul 31, 2012 Posts 158 Reaction score 26 Dec 23, 2012 Thread starter #3 hippocratessocrates said: Simu ya kiganjani..yaani handset. Click to expand... kwanini?
J Joseph Isaack JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 450 Reaction score 89 Dec 23, 2012 #4 hippocratessocrates said: Simu ya kiganjani..yaani handset. Click to expand... Kwani neno "simu ya mkononi" huwezi kuita handset?
hippocratessocrates said: Simu ya kiganjani..yaani handset. Click to expand... Kwani neno "simu ya mkononi" huwezi kuita handset?
M Maamuma JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 848 Reaction score 306 Dec 23, 2012 #5 Vyote vinakubalika. Simu ya mkononi au ya kiganjani, vyote sawa. Source: BAKITA
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,351 Dec 23, 2012 #6 ukizungumzia mkono unazungumzia sehemu kubwa ambayo ina kiganja ila kiganja ni sehemu ndogo ya mkono inayotumika kushikia kitu kwa maana hiyo cm ni ya kiganjani na sio ya mkononi . "Mkono unaanzia kwenye bega "
ukizungumzia mkono unazungumzia sehemu kubwa ambayo ina kiganja ila kiganja ni sehemu ndogo ya mkono inayotumika kushikia kitu kwa maana hiyo cm ni ya kiganjani na sio ya mkononi . "Mkono unaanzia kwenye bega "