Ipi ni sahihi

Ipi ni sahihi

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Ipi ni sahihi kati ya
SIMU YA MKONONI
SIMU YA KIGANJANI
 
Vyote vinakubalika. Simu ya mkononi au ya kiganjani, vyote sawa.
Source: BAKITA
 
ukizungumzia mkono unazungumzia sehemu kubwa ambayo ina kiganja
ila kiganja ni sehemu ndogo ya mkono inayotumika kushikia kitu kwa
maana hiyo cm ni ya kiganjani na sio ya mkononi .
"Mkono unaanzia kwenye bega "
 
Back
Top Bottom