Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

Nilianza kutumia Nokia Xpress music......bado natamba na Nokia C30

Nokia connecting people
 
Hii simu ndio simu yangu ya kwanza ...but nilinyanganywa na mwalimu shuleni..alafu akanitishia kunifukuza shule..ikabidi tu niwe mpole...ila nilishakulaga wanafunzi wenzangu kibao sana. Kumbuuka zilikuwa zina uwezo wa kurekodi mp3 muziki.. na hata ringtone zake zilikuwa ni polyphonic
 
Attachments

  • siemens-c55.jpg
    27.8 KB · Views: 30
Baadae nikapewa hii na b mkubwa..hahaha yaani ilikuwa ni mwendo wa kucheza gemu...kusikiliza muziki na baadae najifungia gheto naenda zangu waptrick kidogo namalizia na phonerotica
 
Attachments

  • no6020.gif
    8.4 KB · Views: 26
Baadae nikapewa hii na b mkubwa..hahaha yaani ilikuwa ni mwendo wa kucheza gemu...kusikiliza muziki na baadae najifungia gheto naenda zangu waptrick kidogo namalizia na phonerotica

Nokia jeneza simu iyo. Nakumbuka nikachukua na muito wa wimbo wa taifa aisee back in days
 
Baadae nikapewa hii na b mkubwa..hahaha yaani ilikuwa ni mwendo wa kucheza gemu...kusikiliza muziki na baadae najifungia gheto naenda zangu waptrick kidogo namalizia na phonerotica
Ulikuwa wa kishua!
 
Hii ndio ilikua simu yangu ya kwanza kipindi hicho nilikua naipenda sana hasa jins Keyboard yake ilivyokaa. Enzi hizo Nilikua nakesha Waptrick kupakua nyimbo za akina Wizkid,Burnaboy,K.O, Casper nyovest, Baky W, n.k wakati huo hao wasanii hawajulikani nadhani mtaani kwetu tu ndio tulikua tunawajua ajili ya kuwepo kwa channels ya HipTv, Soundcity na Chenel O.

Hii ndio Smartphone yangu ya kwanza 2014 mzee wangu aliniletea toka Qatar nilikua naeatambia washkaji maana walikua wananivimbia na Tecno P5,Y6 zao. Kiukweli Sijawahi penda simu kama nilivyopemda hii. Kuanzia wallpapers zake na UI. Hapo kwenye Lige Companion nilikua nafuta naweka jina langu. Iliibiwa tarehe 5/6/2017 Zenji pamoja na Toshiba PC niliyopewa pamoja na hii simu (Sitasahau siku hiyo maana nilikesha ajili ya maumivu)
 
Nokia asha zilitunyanyasa Sana sie wa Nokia tochi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…