Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

Hiyo nokia asha nilikua nakesha nayo Jf Jokes kwenye uzi fulani unaitwa Matani, yaani nilikua nacheka enzi hizo sijui hata jinsi ya kujiunga JF.
We umeanza kutumia cm juzi juzi
 
Inawaka taa ubavuni
047oA6vhbvNcBVcdMNalo5G-2.fit_scale.size_760x427.v1569483449.jpg
 
images.jpeg-4.jpg


Yakwanza Motorola C117 2006 hiyo.

Smartphone ya kwanza
images.jpeg-5.jpg


Huawei Ideos hiyo ilikua 2012.
 
Kumbe we wa juzi juzi...hivi kuna simu za kishua zilizotamba kuzidi brand ya sony ericoson,lg na motorola hasa ile l6 au l7.....baadae zikaja blackberry sijui
Dah l6 moja ya slim na entertainment phone za kipindi hicho...umenikumbusha mbali nilikua na moja nikaiweka wimbo wa psquare do me..sikua wakishua ila nilikaa meza moja na wakishua 😄😄
 
Simu yangu ya kwanza ilikuwa vodafone zile za promo, 2006 mwanzoni!
 
Hii ndio ilikua simu yangu ya kwanza kipindi hicho nilikua naipenda sana hasa jins Keyboard yake ilivyokaa. Enzi hizo Nilikua nakesha Waptrick kupakua nyimbo za akina Wizkid,Burnaboy,K.O, Casper nyovest, Baky W, n.k wakati huo hao wasanii hawajulikani nadhani mtaani kwetu tu ndio tulikua tunawajua ajili ya kuwepo kwa channels ya HipTv, Soundcity na Chenel O.
View attachment 2239430
Hii ndio Smartphone yangu ya kwanza 2014 mzee wangu aliniletea toka Qatar nilikua naeatambia washkaji maana walikua wananivimbia na Tecno P5,Y6 zao. Kiukweli Sijawahi penda simu kama nilivyopemda hii. Kuanzia wallpapers zake na UI. Hapo kwenye Lige Companion nilikua nafuta naweka jina langu. Iliibiwa tarehe 5/6/2017 Zenji pamoja na Toshiba PC niliyopewa pamoja na hii simu (Sitasahau siku hiyo maana nilikesha ajili ya maumivu)
View attachment 2239443
Waptrick walikua na jirani yao anaitwa wapred 🤣🤣
 
Back
Top Bottom