Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

Hiyo nokia asha nilikua nakesha nayo Jf Jokes kwenye uzi fulani unaitwa Matani, yaani nilikua nacheka enzi hizo sijui hata jinsi ya kujiunga JF.
We umeanza kutumia cm juzi juzi
 


Yakwanza Motorola C117 2006 hiyo.

Smartphone ya kwanza


Huawei Ideos hiyo ilikua 2012.
 
Kumbe we wa juzi juzi...hivi kuna simu za kishua zilizotamba kuzidi brand ya sony ericoson,lg na motorola hasa ile l6 au l7.....baadae zikaja blackberry sijui
Dah l6 moja ya slim na entertainment phone za kipindi hicho...umenikumbusha mbali nilikua na moja nikaiweka wimbo wa psquare do me..sikua wakishua ila nilikaa meza moja na wakishua πŸ˜„πŸ˜„
 
Simu yangu ya kwanza ilikuwa vodafone zile za promo, 2006 mwanzoni!
 
Waptrick walikua na jirani yao anaitwa wapred 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…