wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Starehe yangu ni kuwa na pesa/dough hata nisipozitumia ila raha ya kuziona tu whether cash at hand am Bank nakua relaxed. Ila sasa ndiyo sina kabisa[emoji848]
Nimefurahi etiUnacheka!!
Kwa lipi Sasa?Nimefurahi eti
Tulia ule mema ya nchi, huyo mfia chura hakutaki😂Mbona Extrovert kanipenda hivo hivo,wewe utashindwaje bana😀
Eeh kwenda kwani naniliu yako ya gold bana usinichoshe😀Mimi na english figure hapana kwa kweli!🚶🚶🚶
financial servicesEeh kwenda kwani naniliu yako ya gold bana usinichoshe[emoji3]
Hahaaa! Na hiyo pia naipenda sana yani! Ila nimegundua sahivi pesa kwanza nikishiba ndiyo starehe hiyo inafata mkuu.Kuna thread uliandika starehe yako pendwa ni kunya mkuu,naoma umebadilisha kwny thread hii mkuu.
Hahaaa! Na hiyo pia naipenda sana yani! Ila nimegundua sahivi pesa kwanza nikishiba ndiyo starehe hiyo inafata mkuu.
Watu mna kumbukumbu dah[emoji3]
Nipe deal mkuu nisiwe tegemezi, Ukinigawia leo kesho ntagawiwa na nani?😀Ni kugawie
Ila zinaenda pamoja sijabadilisha mkuu! Ila umekumbukaje kama nilisema hivo dah😀😀Hahahahah sikujua kama umesha change starehe yako mkuu.
Abeee Ely !ngosha mwenyewe mambo!
😍😍My beiby love.😍 chum chum
Sasa mbona kama unanicheka babe😀 sijui hata anapataga nini kwenye chura huyu Behaviourist sema unachopata humo🤔Tulia ule mema ya nchi, huyo mfia chura hakutaki😂
unamshobokea sana af wala hakushobokei. Penda unapopendwaSasa mbona kama unanicheka babe😀 sijui hata anapataga nini kwenye chura huyu Behaviourist sema unachopata humo🤔
Mambo poa tu vipi mzima wewe mkuuAbeee Ely !ngosha mwenyewe mambo!
Mdogo angu nahitaji kukuongoza kwanza sala ya toba uokoke.Muda huu niko ibadani ndio starehe yangu
Wasukuma mko vizuri pande hizo[emoji3]Mimi sitarehe yangu pendwa kabisa na nisiwe mnafiki katika hili ni KUGEGEDANA hasa nikiwa nagegedana na ingizo jipya