Ipi ni starehe yako

Starehe yangu kubwa ni kusoma neno la Mungu na kutafakari hapa duniani tupo kwa muda mfupi kabla ya Yesu kurudi kutuchukua kutupeleka mbinguni kwa Baba.
 
Kwa asilimia KUBWA ya wanaume, starehe zao ni mbili kubwa... Kuwa na wanawake warembo kiurafiki na kimapenzi, na pili ni kuwa na Mapessa mengi. Hivyo vitu viwili, VINAWAPA WANAUME WENGI SANA STAREHE NA RAHA
 
Kujisoma na kujifunza habari kuhusu Ulimwengu mambo ya anga (Astronomy)
 
Simba (nyau) sports club ikifungwa na Young Africans FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…