Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa asilimia KUBWA ya wanaume, starehe zao ni mbili kubwa... Kuwa na wanawake warembo kiurafiki na kimapenzi, na pili ni kuwa na Mapessa mengi. Hivyo vitu viwili, VINAWAPA WANAUME WENGI SANA STAREHE NA RAHAWadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.
Binafsi starehe yangu ni kuiona familia yangu ina furaha na inapata mahitaji yote ya msingi.
Tufunguke wadau.
Chap nakuja
Ongezeaa churaaKitimoto kilo moja kwa bia mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumkorofisha baby
Niko apa nimeshafika
Salaaam ex baby....Niko apa nimeshafika
Safi habari yakoSalaaam ex baby....
Kukumis tu babySafi habari yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]