THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Usijisumbue sana kumnunulia vidude dude......Mpatie tu cash 1m au 2m basiJF Mahusiano[emoji112]
Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.
Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?
Nina Jambo langu hapa[emoji23][emoji23]
NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
wanaume kama nyie mpo mkoa gani jamani....hata masalia yenu tu basi
Pochi, saa, perfume, viatu, Lotion nzuri, simu
wanaume kama nyie mpo mkoa gani jamani....hata masalia yenu tu basi
Pochi, saa, perfume, viatu, Lotion nzuri, simu
Acha kuwaza ujinga dogo. Hiyo pesa bora ukanywea balimi sio kumpa huyo hiyo zawadi.
Kama huna kampani we njoo mi nina clue ya kutosha kuiteketeza hiyo pesa ya zawadi.
iwe macho matatuIphone 13 Pro MAX, hata kusahau kwenye maisha yake yote.
Mzee baba inaonekana una kiu sana ya ugimbi..Acha kuwaza ujinga dogo. Hiyo pesa bora ukanywea balimi sio kumpa huyo hiyo zawadi.
Kama huna kampani we njoo mi nina clue ya kutosha kuiteketeza hiyo pesa ya zawadi.
Kumkaza vyema,siyo kulegezalegeza pumb*.kidding...mnunulie saa,viatu ...simu na denda la maana siyo la kutoa ulimi kama nyoka eti unyonywe.aaaghrrr