Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

JF Mahusiano👋
Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.

Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?

Nina Jambo langu hapa😂😂

NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
dyudyu
 
Hujawahi pendwa au?
emoji23.png
emoji23.png

Hujawahi pendwa au?[emoji23][emoji23]
😂😂😂 Hongera kwa kupendwa
 
Bajeti yako ni kama kiasi gani? Mnunulie perfume,saa na misindikizie na cake flani hivi ya chocolate yenye umbo la love akii hata ukichepuka akakubamba anakusamehe😂
Aiseee hadi hapo ni kama 50k hivi😂😂😂
 
Back
Top Bottom