Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

Mtoto ana raha yake ila since unampenda huyo bibie basi hapo mambo yanakuwa bomba ..
Aje kwa mipango sasa tena kwa makubaliano yenu wote wawili sio wewe mmoja unapania kumpa mwenza wako mimba au wewe wa kike unategesha pasipo nyie kukubaliana.

Mtoto sawa aje sio kwa mipangoa ua kwa kupanga bado ni mtoto ila tunataka tuishi kwa Raha na Mtoto afurahie maisha sio mtoto una mzaa akikuaaa anaanza kusema wazazi wangu walikua wapi sijui hadi Bakhresa anakua tajiri?😂😂
 
Aje kwa mipango sasa tena kwa makubaliano yenu wote wawili sio wewe mmoja unapania kumpa mwenza wako mimba au wewe wa kike unategesha pasipo nyie kukubaliana.

Mtoto sawa aje sio kwa mipangoa ua kwa kupanga bado ni mtoto ila tunataka tuishi kwa Raha na Mtoto afurahie maisha sio mtoto una mzaa akikuaaa anaanza kusema wazazi wangu walikua wapi sijui hadi Bakhresa anakua tajiri?[emoji23][emoji23]
Upo sahihi kabisa [emoji817]
Kila kitu na muda wake ..
 
Hebu mwache atoe zawadi
Love is a beautiful thing ..
I once did this to someone, nilijitoa sana, nilijitahidi macho yangu yasijaribu hata kutazama mtu mwingine but still things didnt work out (that ungrateful b****).

Nikimuona mtu anajiangaisha na zawadi kwa dada zetu hawa waswahili nasemaa hiiiiiiii.

There is no such thing as love, bali kuna personal interests tu.
 
Mungu akusaidie ukutane na mwanamke wako
Hakika utaenjoy ..

Watu wengine wanakuja maishani kutufundisha tu hivyo inabidi tuyavumilie yote .
 
Huku sio kukata tamaa bali kunaitwa "realizing the facts". Naamini hata wewe deep inside unaujua ukweli japo unajitahidi kuufunika[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana give yourself a chance to love someone ,Weh mimi hata niumizwe kamwe siachi kupenda aisee .. ya nini kujitesa wakati tunaishi mara moja tu .

NB. mapenzi matamu asikuambie mtu
 
Hapana give yourself a chance to someone ,Weh mimi hata niumizwe kamwe siachi kupenda aisee .. ya nini kujitesa wakati tunaishi mara moja tu .

NB. mapenzi matamu asikuambie mtu
U can love being around people but that it doesn't mean you love them, it only means most of your interests are fulfilled kwa wakati huo ndio maana unafuraha wakiwa around.

Interests za mtu zinabadilika, ipo siku furaha itaisha sababu interests zako mpya hazitimizwi and u'll no longer think u love them.
 
Sijaongelea mambo ya kuwa na mtu for fun
Nakushauri achia moyo upende tena, usijiumiuze nafsi yako bure.
 
Back
Top Bottom