Ipi nichukue kati ya IST na Golf 4 GTI

Golf4 ni gari nzuri sana ni economically kwenye mafuta. Pia speed yake kali hasa ukizingatia hakuna camera za kurecord kasi za magari, clock yake ni 240 kmh , tatizo lake kwa hapa tz ni upatikanaji wa spare zake
 
Kama unapenda sana mbio chukua vw golf gti, hii mashine ni balaa maana kwanza iko very comfortable ukiendesha hasa kwa safari ndefu maana ina speed 300 na zingine 260 , spea zipo kibao siku hizi na kuhusu ulaji wa mafuta sio kiviile inakula kawaida tu
 
Go for Golf GTI,gari nzuri,nzito inatulia sana barabarani at high speed,ingawa sijui unataka mpya kabisa au used,kama ni mpya nunua maana mpaka ifikie mileage 100,000 km sio leo na ikianza kusumbua katika hizo km mtafute atakaeiweza muuzie,kama ni used achana nayo angalia mileage kama ni chini ya 50,000 km ndio ununue.

Ninakwambia hivyo kwakuwa hizo gari za Germany upatikanaji wa spear ni mgumu sana na unapopata bei inakuwa juu,ila kama mfuko wako uko vizuri nunua,nowadays dunia ni kama kijiji unaweza agiza anywhere around the globe.
 
Mkuu naomba ufanye comparison ya Golf vs Polo, ni fan wa Polo lakini maelezo yako hapo yamenichanganya.
 
Polo ni small in body and engine size as well. Polo ni kama vitz/starlet/ist kwa vw
Namaanisha availability ya spare parts kwa Tzii, maintenance costs nk. Nimeona hapo umesema mtu akishindwa Golf kwa Tzii hawezi any other European car.
 
Namaanisha availability ya spare parts kwa Tzii, maintenance costs nk. Nimeona hapo umesema mtu akishindwa Golf kwa Tzii hawezi any other European car.
Nimesema hivyo kwasababu spares za golf ni nyingi na bei ya kawaida. Vw polo haipishani na golf kwa availability na price. Zote zipo sawa.
 
Wengi wanaosema spare za toyota cheap wanazungumzia fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…