Ipi nichukue kati ya IST na Golf 4 GTI

Ipi nichukue kati ya IST na Golf 4 GTI

Golf4 ni gari nzuri sana ni economically kwenye mafuta. Pia speed yake kali hasa ukizingatia hakuna camera za kurecord kasi za magari, clock yake ni 240 kmh , tatizo lake kwa hapa tz ni upatikanaji wa spare zake
 
Kama unapenda sana mbio chukua vw golf gti, hii mashine ni balaa maana kwanza iko very comfortable ukiendesha hasa kwa safari ndefu maana ina speed 300 na zingine 260 , spea zipo kibao siku hizi na kuhusu ulaji wa mafuta sio kiviile inakula kawaida tu
 
Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
Go for Golf GTI,gari nzuri,nzito inatulia sana barabarani at high speed,ingawa sijui unataka mpya kabisa au used,kama ni mpya nunua maana mpaka ifikie mileage 100,000 km sio leo na ikianza kusumbua katika hizo km mtafute atakaeiweza muuzie,kama ni used achana nayo angalia mileage kama ni chini ya 50,000 km ndio ununue.

Ninakwambia hivyo kwakuwa hizo gari za Germany upatikanaji wa spear ni mgumu sana na unapopata bei inakuwa juu,ila kama mfuko wako uko vizuri nunua,nowadays dunia ni kama kijiji unaweza agiza anywhere around the globe.
 
Mkuu naomba ufanye comparison ya Golf vs Polo, ni fan wa Polo lakini maelezo yako hapo yamenichanganya.
 
Polo ni small in body and engine size as well. Polo ni kama vitz/starlet/ist kwa vw
Namaanisha availability ya spare parts kwa Tzii, maintenance costs nk. Nimeona hapo umesema mtu akishindwa Golf kwa Tzii hawezi any other European car.
 
Namaanisha availability ya spare parts kwa Tzii, maintenance costs nk. Nimeona hapo umesema mtu akishindwa Golf kwa Tzii hawezi any other European car.
Nimesema hivyo kwasababu spares za golf ni nyingi na bei ya kawaida. Vw polo haipishani na golf kwa availability na price. Zote zipo sawa.
 
Ni kweli kabisa, ila nadhani ni lazima pia hiyo availability ya spare ya IST ufahamu na UBORA wake, nenda pale KISANGANI ulizia fuel pump original ya IST; nikimaanisha kama hiyo iliyokuja na Gari toka ulipoiagizia; bei zinafanana kabisa. Mfano mrahisi nanunua oil filter kwa 30,000/=, naweka oil ya 75,000/= ila natembea km 9,000 bila wasiwasi. Mafundi ni kweli pasua kichwa ila kwa sasa kuna mafundi wazuri tuu wanatengeneza hizo gari.
Wengi wanaosema spare za toyota cheap wanazungumzia fake.
 
Back
Top Bottom