Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go for Golf GTI,gari nzuri,nzito inatulia sana barabarani at high speed,ingawa sijui unataka mpya kabisa au used,kama ni mpya nunua maana mpaka ifikie mileage 100,000 km sio leo na ikianza kusumbua katika hizo km mtafute atakaeiweza muuzie,kama ni used achana nayo angalia mileage kama ni chini ya 50,000 km ndio ununue.Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
Polo ni small in body and engine size as well. Polo ni kama vitz/starlet/ist kwa vwMkuu naomba ufanye comparison ya Golf vs Polo, ni fan wa Polo lakini maelezo yako hapo yamenichanganya.
Namaanisha availability ya spare parts kwa Tzii, maintenance costs nk. Nimeona hapo umesema mtu akishindwa Golf kwa Tzii hawezi any other European car.Polo ni small in body and engine size as well. Polo ni kama vitz/starlet/ist kwa vw
Nimesema hivyo kwasababu spares za golf ni nyingi na bei ya kawaida. Vw polo haipishani na golf kwa availability na price. Zote zipo sawa.Namaanisha availability ya spare parts kwa Tzii, maintenance costs nk. Nimeona hapo umesema mtu akishindwa Golf kwa Tzii hawezi any other European car.
Wengi wanaosema spare za toyota cheap wanazungumzia fake.Ni kweli kabisa, ila nadhani ni lazima pia hiyo availability ya spare ya IST ufahamu na UBORA wake, nenda pale KISANGANI ulizia fuel pump original ya IST; nikimaanisha kama hiyo iliyokuja na Gari toka ulipoiagizia; bei zinafanana kabisa. Mfano mrahisi nanunua oil filter kwa 30,000/=, naweka oil ya 75,000/= ila natembea km 9,000 bila wasiwasi. Mafundi ni kweli pasua kichwa ila kwa sasa kuna mafundi wazuri tuu wanatengeneza hizo gari.
Thats true. Mimi oilfilter original ya toyota toka kwa dealer nimeuziwa 35000 lkn kuna watu wananua mtaani kwa 5000 ambazo ni kabisaWengi wanaosema spare za toyota cheap wanazungumzia fake.