naija-lojja
Senior Member
- May 13, 2017
- 163
- 64
Nasikia ukikata govi kwa mtoto mdogo inaweza kuwa kibamiaKata hilo govi.
Iyo kweli sema wasiwasi wangu ni kwamba inaweza leta magonjwa kwa umri uosubiri angalau miaka mitano chini ya hapo anakuwa na kibamia
Sawa umesomeka mkuuAkifikisha miaka mitano na kuendelea mpeleke hospitali akakatwe huo mkono wa sweta
Hahahahaha mwendo wa kuvaa kanga au kitauloMaumivu ya kutahiriwa
Stak hata kuyakumbuka
Nb,ukizaliwa mwanaume lazma uyapitie tu
Otherwise uwe jaluo la kenya
Mbona miaka ya kutongoza tayr iyoMiaka 6 ili kidudu kisiwe kidogo
Zingatia kumsafisha dudu yake tuIyo kweli sema wasiwasi wangu ni kwamba inaweza leta magonjwa kwa umri uo
SureZingatia kumsafisha dudu yake tu
Myth...Nasikia ukikata govi kwa mtoto mdogo inaweza kuwa kibamia
Yesu alitahiriwa akiwa na siku nane kwa mujibu wa Biblia1 kumvarisha pete
2 kumkata kabisa govi??
Nahitaji kumtahiri mwanangu ila sijui ni njia gani hasa nzuri na safe
Pia ni umri gani mzuri haswa wa kutahiri???
Hahahaha dah ayo cmauaji ayo kaka!!!?Akiwa mdogo sana wanaweza kata kichwa bahati mbaya
Mwandiko unaonyesha umetahiriwa ukubwaniMaumivu ya kutahiriwa
Stak hata kuyakumbuka
Nb,ukizaliwa mwanaume lazma uyapitie tu
Otherwise uwe jaluo la kenya
Unanisha walio tahiliwa wakiwa wazee wana mikuki au???Nilitahiriwa nikiwa na miaka saba.
Kumbe ndio maana ninamiliki tango katika boxer na sio bamiaaaa!!!!?