naija-lojja
Senior Member
- May 13, 2017
- 163
- 64
1 kumvarisha pete
2 kumkata kabisa govi??
Nahitaji kumtahiri mwanangu ila sijui ni njia gani hasa nzuri na safe
Pia ni umri gani mzuri haswa wa kutahiri???