Ipi njia nzuri ya kumtahiri mtoto??

Ipi njia nzuri ya kumtahiri mtoto??

naija-lojja

Senior Member
Joined
May 13, 2017
Posts
163
Reaction score
64
1 kumvarisha pete
2 kumkata kabisa govi??

Nahitaji kumtahiri mwanangu ila sijui ni njia gani hasa nzuri na safe

Pia ni umri gani mzuri haswa wa kutahiri???
 
Maumivu ya kutahiriwa
Stak hata kuyakumbuka

Nb,ukizaliwa mwanaume lazma uyapitie tu
Otherwise uwe jaluo la kenya
 
Nilitahiriwa nikiwa na miaka saba.
Kumbe ndio maana ninamiliki tango katika boxer na sio bamiaaaa!!!!?
 
Back
Top Bottom