Boli linatembea
Member
- Dec 21, 2022
- 66
- 167
Salaam wana JF, k
Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz life huku iko juu bora nikusanye nikipata hta M140 najua nitaishi nyumbani bila kuhenyeka sana, ni njia gan nzur naweza kufanya saving?
Kutoka dola kuja shiling?napenda niwe nasave kidogo kidogo kila mwezi. Naomba kuwasilisha.