Boli linatembea
Member
- Dec 21, 2022
- 66
- 167
Save pesa kwenye ardhi, na siyo ardhi nje ya miji, ardhi kilometer chache kutoka town, nyingine weka bank.Salaam wana JF, kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hz kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia cz life huku iko juu bora nikusanye nikipata hta M140 najua nitaishi nyumbani bila kuhenyeka sana, ni njia gan nzur naweza kufanya saving?kutoka dola kuja shiling?napenda niwe nasave kidogo kidogo kila mwezi. Naomba kuwasilisha.
Fungu la 10 ni nini hicho?
- Matumizi 50%
- Fungu la kumi 10%
- Akiba 20%
- Dharura 10%
- Msaada 5%
- Sadaka 5%
- Jumla 100%
1. Ondoa wazo la TZSsaving?kutoka dola kuja shiling?
Niko huku ardh nasave vipi?au unataka nitume pesa nipigwe? Hapa hta mke simuamin aisee pesa naipata kwa tabu acha tu, naona nisave nikirud ndo nianze vurugu za kujenga sijui n.k unatuma hela kumbe watu wanafanyia miradi yao unadanganywa.Save pesa kwenye ardhi, na siyo ardhi nje ya miji, ardhi kilometer chache kutoka town, nyingine weka bank.
UTT ni nn?UTT Mkuu
Pesa inawekezwa, haitunzwi.1. Ondoa wazo la TZS
2. Fungua account, USD Account, kwenye benki yeyote internation ambayo ina branch hapa Tanzania (Fanya tafiti zipo)
Angalia post #4 acha uvivu wa kusoma.UTT ni nn?
i wish i could send u a voice note words not enoghFungu la 10 ni nini hicho?
Ziko njia sahihi za kununuwa ardhi hata ukiwa mbali na hupigwi, nimeishi Abroad naelewa vizuri.Niko huku ardh nasave vipi?au unataka nitume pesa nipigwe? Hapa hta mke simuamin aisee pesa naipata kwa tabu acha tu, naona nisave nikirud ndo nianze vurugu za kujenga sijui n.k unatuma hela kumbe watu wanafanyia miradi yao unadanganywa.
Hili wazo ni zuri Sema bank nyingi hapa America hwana branch Tanzania, kuna kitu nimekifikiria sijui kama kitamake sense naweza kujitumia hela kwenye acc yangu ya Sh nikiwa hapa either kwa mpesa au worldremitly , kuna mtu amewahi kufanya hivyo?1. Ondoa wazo la TZS
2. Fungua account, USD Account, kwenye benki yeyote internation ambayo ina branch hapa Tanzania (Fanya tafiti zipo)...
Hii ni scam.i wish i could send u a voice note words not enogh
Okey iko hivi mshahara/ama mapato yako kwa mwezi unatoa ailimia kumi unapeleka kanisani ama unapeleka misaada kwa wahitaji
Tuseme mapato yako kwa mwezi ni 100,000 asilimia kumi ni ni efu kumi
Kwenye efu moja kuna 100
Kwenye 10000 kuna 1000
Na kuendelea
Zipi kaka?Ziko njia sahihi za kununuwa ardhi hata ukiwa mbali na hupigwi, nimeishi Abroad naelewa vizuri.
Fuata Ushauri huu murua kabisa1. Ondoa wazo la TZS
2. Fungua account, USD Account, kwenye benki yeyote internation ambayo ina branch hapa Tanzania (Fanya tafiti zipo)...
Crdb wana Tanzanite account kwa ajili ya Diaspora.Hili wazo ni zuri Sema bank nyingi hapa America hwana branch TZ, kuna kitu nimekifikiria sijui kama kitamake sense naweza kujitumia hela kwenye acc yangu ya Sh nikiwa hapa either kwa mpesa au worldremitly , kuna mtu amewahi kufanya hivyo?
Inatunzwa lakin ni hatar pia unaweza kutapeliwa hsa mambo ya Ardh naogopa sana hasa wakijua haupo unaweza kulia kilio kibaya after sometime.Pesa inawekezwa, haitunzwi.
Ukiwa na mtu unayemwamini Tanzania ni rahisi sana.Zipi kaka?