Ipi njia rahisi kutuma fedha nje ya nchi?

Ipi njia rahisi kutuma fedha nje ya nchi?

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Samahani, hivi ni njia ipi rahisi kutuma fedha nchi za nje?
 
MasterCard
Pesapal
Bank transfer
Western union na washirika wake wa kila aina

Nenda Bank waambie shida yako wata kusaidia

Bank iliyokaribu na wewe
 
$60 u.s.a
Unafanya malipo ya nini? Nenda CRDB bank iliyo Katibu nawe waeleze unataka kufanya malipo ya nini watakuongoza vizuri wao ndio wanajuwa njia IPI Kwa malipo gani.

Mfano Mimi niliagiza gari Japan nililipia NBC bank kwenye account ya Be forward Japan.
 
Back
Top Bottom