Ipi nyimbo yenye beats kalii sana

Ipi nyimbo yenye beats kalii sana

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Ipi nyimbo kalii na beats kalii kati ya hizi nas i can na dr dre still dre
Still DRE.jpg
I Can.jpg
 
Nilipokua mdogo tulikua na saa ya ukutani iliyokua inalia kila inapotimu kamili ya saa flani. Kulikua na mlio mmoja uliokua unanivutia Sana... Huo mlio pia ulikua maarufu kwenye zile card za birthday enzi zile.

Baadaye nikaja kugundua ni beat ya wimbo Bora zaidi toka Kwa Nas.

I know I can.... Be where I wanna be.

Hii beat ni balaa
 
Nilipokua mdogo tulikua na saa ya ukutani iliyokua inalia kila inapotimu kamili ya saa flani.... Kulikua na mlio mmoja uliokua unanivutia Sana... Huo mlio pia ulikua maarufu kwenye zile card za birthday enzi zile...
Kalii sana nas anajua sana yaani sana
 
Back
Top Bottom